Epson L3110 Series Beknopte handleiding - Pagina 25
Blader online of download pdf Beknopte handleiding voor {categorie_naam} Epson L3110 Series. Epson L3110 Series 48 pagina's.
Ook voor Epson L3110 Series: Start Here (4 pagina's), Beknopte handleiding (40 pagina's), Beknopte handleiding (48 pagina's), Beknopte handleiding (48 pagina's), Beknopte handleiding (36 pagina's), Start Here (2 pagina's)
Kusoma Taa za Ishara
: Imewaka
Hali ya Kawaida
Kichapishi kimeunganishwa kwa mtandao wa pasi waya (Wi-Fi).
Kichapishi kimeunganishwa kwenye mtandao kupitia modi ya Wi-Fi Direct (AP Rahisi).
Hali ya Hitilafu
Hitilafu ya muunganisho wa Wi-Fi imetokea. Bonyeza kitufe cha
Huenda ujazaji wa wino wa mwanzo haujakamilika. Angalia Anza Hapa ukamilishe ujazaji wa wino wa
mwanzo.
Hakuna karatsi imewekwa au zaidi ya karatasi moja zimeingizwa kwa wakati mmoja. Weka karatasi na
ubonyeze kitufe cha
Karatasi imekwama. Ondoa karatasi na ubonyeze kitufe cha
& "Kuondoa Msongamano wa Karatasi" kwenye ukurasa wa 45
Kama taa ya kiashirio itaendelea kumweka, angalia sehemu ya karatasi zilizokwamba kutoka kwenye
"Kutatua Matatizo" katika Mwongozo wa Mtumiaji.
Kichapishi hakikuzimwa vizuri. Baada ya kuondoa kosa kwa kubonyeza kitufe cha
kazi zote zinazosubiri za kuchapisha. Tunapendekeza utekeleze ukaguzi wa nozeli kwa sababu huenda
nozeli imekauka au imezibwa.
Ili kuzima kichapishi, hakikisha umebonyeza kitufe cha
O Kumweka bila kukoma: Pedi ya wino iko karibu au imefikisha mwisho wa huduma yake.
O Kumweka kwa kubadilishana: Pedi ya wino isiyokuwa na mpaka iko karibu au imefikisha mwisho
wa huduma yake. Uchapishaji usiokuwa na mipaka haupatikani, lakini uchapishaji wenye mipaka
unapatikana.
Ili kubadilisha pedi ya wino au pedi ya wino ya uchapishaji usiokuwa na mipaka, wasiliana na Epson au
mtoa huduma aliyeidhinishwa wa Epson.
: Inamweka
au
.
Kichapishi kimeanza katika modi ya kurejesha kwa sababu sasisho la programu
msingi halijafaulu.
Kwa maelezo zaidi, angalia jedwali la viashiria hitilafu kutoka kwenye "Kutatua
Matatizo" katika Mwongozo wa Mtumiaji.
Hitilafu ya printa imetokea. Fungua kifuniko cha nyuma na uondoe karatasi yoyote
ndani ya printa. Zima na uwashe printa tena. Ikiwa hitilafu itaendelea kuonekana
baada ya kuzima nishati na kuwasha tena, wasiliana na usaidizi wa Epson.
ili utatue hitilafu na ujaribu tena.
au
.
.
25
EN
FR
ES
PT
TR
SW
AR
FA
au
, ghairi
34