Epson L3110 Series Quick Manual - Page 22
Browse online or download pdf Quick Manual for All in One Printer Epson L3110 Series. Epson L3110 Series 48 pages.
Also for Epson L3110 Series: Start Here (4 pages), Quick Manual (40 pages), Quick Manual (48 pages), Quick Manual (48 pages), Quick Manual (36 pages), Start Here (2 pages)
Mifululizo ya L3100 / Mifululizo ya L3110
Maagizo Muhimu ya Usalama
O Tumia tu waya ya nishati inayokuja na kichapishi hiki. Matumizi ya waya nyingine ya nishati inaweza
kusababisha moto au mshtuko wa umeme. Usitumie waya hiyo na kifaa kingine chochote.
O Hakikisha waya yako ya nishati ya AC inatimiza viwango muhimu vya usalama vya eneo.
O Isipokuwa ime umeelezewa waziwazi katika nyaraka zako usijaribu kuhudumia kichapishi wewe mwenyewe.
O Usiruhusu waya ya nishati kuharibika au kuchakaa.
O Weka printa karibu na soketi ya ukutani ambapo waya ya nishati inaweza kuchomolewa kwa urahisi.
O Usiweke au kuhifadhi bidhaa nje, karibu na uchafu au vumbi jingi, majimaji, vyanzo vya moto, au katika
maeneo yaliyo na mshtuko, mtetemeko, halijoto ya juu au unyevu.
O Chunga usimwagie bidhaa maji na usishughulikie bidhaa kwa mikono yenye maji.
O Weka chupa za wino na kitengo cha tangi la wino mbali na watoto na usinywe wino huo.
O Usitingishe chupa ya wino haraka zaidi au aithirike kwa mipigo ya vifaa kwa kuwa hii inawesza kusababisha
uvujaji wa wino.
O Hakikisha umewekwa chupa za wino zikiwa zimesimama na usizigonganishe au kuziweka mahali kuna
mabadliko ya halijoto.
O Wino ukikumwagikiwa kwenye ngozi, safisha sehemu hiyo vizuri ukitumia sabuni na maji. Wino ukiingia
ndani ya macho yako, yamwagie maji mara moja. Maumivu au matatizo ya kuona yakiendelea baada ya
kuyamwagia maji, mtembelee daktari mara moja. Wino ukiingia mdomoni mwako, mtembelee daktari mara
moja.
Mwongozo wa Paneli Dhibiti
Vitufe
Huwasha na kuzima kichapishi.
Huanzisha unakili wa monokromu au rangi kwenye karatasi tupu yenye ukubwa wa A4. Ili kuongeza
idadi ya nakala (kwa hadi nakala 20), bonyeza kitufe hiki ndani ya kipindi cha sekunde 1.
Husimamisha operesheni ya sasa. Shikilia kitufe hiki kwa sekunde 5 hadi kitufe cha
ili ufanye usafishaji wa kichwa cha kuchapisha.
22
kimwekemweke