Epson L3150 Series Skrócona instrukcja obsługi - Strona 23

Przeglądaj online lub pobierz pdf Skrócona instrukcja obsługi dla Wszystko w jednej drukarce Epson L3150 Series. Epson L3150 Series 48 stron.
Również dla Epson L3150 Series: Zacznij tutaj (4 strony), Skrócona instrukcja obsługi (40 strony), Skrócona instrukcja obsługi (48 strony), Skrócona instrukcja obsługi (48 strony), Skrócona instrukcja obsługi (36 strony)

Epson L3150 Series Skrócona instrukcja obsługi
Kuchanganyisha Vitufe
Kusoma Taa za Ishara
: Imewaka
Hali ya Hitilafu
Huenda ujazaji wa wino wa mwanzo haujakamilika. Angalia Anza Hapa ukamilishe ujazaji wa
wino wa mwanzo.
Hakuna karatsi imewekwa au zaidi ya karatasi moja zimeingizwa kwa wakati mmoja. Weka
karatasi na ubonyeze kitufe cha
Karatasi imekwama. Ondoa karatasi na ubonyeze kitufe cha
& "Kuondoa Msongamano wa Karatasi" kwenye ukurasa wa 45
Kama taa ya kiashirio itaendelea kumweka, angalia sehemu ya karatasi zilizokwamba kutoka
kwenye "Kutatua Matatizo" katika Mwongozo wa Mtumiaji.
O Wakati taa ya nisha imewashwa au inamweka, kichapishi hakikuwa kimezimwa vizuri.
Baada ya kuondoa kosa kwa kubonyeza kitufe cha
za kuchapisha. Tunapendekeza utekeleze ukaguzi wa nozeli kwa sababu huenda nozeli
imekauka au imezibwa. Ili kuzima kichapishi, hakikisha umebonyeza kitufe cha
O Wakati taa ya nishati imezimwa, kichapishi kimeanza katika modi ya urejeshaji kwa
sababu imeshindwa kusasisha programu dhibiti. Kwa maelezo zaidi, angalia jedwali la
viashiria hitilafu kutoka kwenye "Kutatua Matatizo" katika Mwongozo wa Mtumiaji.
O Kumweka bila kukoma: Pedi ya wino iko karibu au imefikisha mwisho wa huduma yake.
O Kumweka kwa kubadilishana: Pedi ya wino isiyokuwa na mpaka iko karibu au imefikisha
mwisho wa huduma yake. Uchapishaji usiokuwa na mipaka haupatikani, lakini uchapishaji
wenye mipaka unapatikana.
Ili kubadilisha pedi ya wino au pedi ya wino ya uchapishaji usiokuwa na mipaka, wasiliana na
Epson au mtoa huduma aliyeidhinishwa wa Epson.
Hitilafu ya printa imetokea. Fungua kifuniko cha nyuma na uondoe karatasi yoyote ndani ya
printa. Zima na uwashe printa tena. Ikiwa hitilafu itaendelea kuonekana baada ya kuzima
nishati na kuwasha tena, wasiliana na usaidizi wa Epson.
Bonyeza vitufe vya
na
iliyounganishwa kwenye USB na utambaze kama faili ya PDF.
Bonyeza vitufe vya
na
mswadajaribio.
Washa ikichapishi ukiwa unashikilia kitufe cha
nozeli.
: Inamweka
pamoja ili uendeshe programu kwenye kompyuta
au
kwa wakati mmoja ili kunakili kwenye modi ya
chini ili uchapishe ruwaza ya kukagua
au
.
au
23
au
.
, ghairi kazi zote zinazosubiri
.
34
EN
FR
ES
PT
TR
SW
AR
FA