Epson L3150 Series Краткое руководство - Страница 24

Просмотреть онлайн или скачать pdf Краткое руководство для Принтер "все в одном Epson L3150 Series. Epson L3150 Series 48 страниц.
Также для Epson L3150 Series: Начните здесь (4 страниц), Краткое руководство (40 страниц), Краткое руководство (48 страниц), Краткое руководство (48 страниц), Краткое руководство (36 страниц)

Epson L3150 Series Краткое руководство
Mifululizo ya ET-2710 / Mifululizo ya L3150
Maagizo Muhimu ya Usalama
Weka bidhaa hii angalau sentimita 22 mbali na kidhibiti mapigo ya moyo. Mawimbi ya redio kutoka kwenye
bidhaa hii yanaweza kuathiri ufanyaji kazi wa kidhibiti mapigo ya moya vibaya.
Kwa maagizo mengine muhimu ya usalama ya Mifululizo ya ET-2710 / Mifululizo ya L3150, angalia ukurasa wa 22.
Mwongozo wa Paneli Dhibiti
Vitufe
Huwasha na kuzima kichapishi.
Hufuta kosa la mtandao. Shikilia chini kwa sekunde 5 au zaidi ili kuunda mipangilio ya mtandao kwa
kutumia kitufe cha msukumo cha WPS.
Huchapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao ili kuthibitisha sababu za matatizo yoyote ya
mtandao. Ili kupata maelezo zaidi, shikilia kitufe hiki chini kwa zaidi ya sekunde 7 ili kuchapisha
laha ya hali ya mtandao.
Huanzisha unakili wa monokromu au rangi kwenye karatasi tupu yenye ukubwa wa A4. Ili kuongeza
idadi ya nakala (kwa hadi nakala 20), bonyeza kitufe hiki ndani ya kipindi cha sekunde 1.
Husimamisha operesheni ya sasa. Shikilia kitufe hiki kwa sekunde 5 hadi kitufe cha
ili ufanye usafishaji wa kichwa cha kuchapisha.
Kuchanganyisha Vitufe
Bonyeza vitufe vya
na
iliyounganishwa kwenye USB na utambaze kama faili ya PDF.
Bonyeza vitufe vya
na
mswadajaribio.
Shikilia chini vitufe vya
wa PIN (WPS).
Shikilia chini vitufe vya
(AP Rahisi).
Washa printa ukiwa unashikilia kitufe cha
mtandao. Wakati mipangilio ya mtandao inarejeshwa, kichapishi huwaka na mwangaza
wa hali ya mtandao hupepesa kwa kubadilishana.
Washa ikichapishi ukiwa unashikilia kitufe cha
nozeli.
pamoja ili uendeshe programu kwenye kompyuta
au
kwa wakati mmoja ili kunakili kwenye modi ya
na
kwa wakati mmoja ili kuwasha Usanidi wa Msimbo
na
kwa wakati mmoja ili kuwasha Usanidi wa Wi-Fi Direct
ili urejeshe mipangilio chaguo-msingi ya
chini ili uchapishe ruwaza ya kukagua
24
kimwekemweke